Niuzie POS
Mauzo na stoo kwa maduka, supamaketi na wauzaji wa jumla
Uza kwa kisoma-msimbo (barcode), skrini ya kugusa au kutafuta. Kila mauzo, manunuzi na uhamisho husasisha stoo ya kila ghala, na ripoti zinaonyesha hasa kiasi ulichopata.
Imeandaliwa kwa: Maduka, supamaketi, wauzaji wa jumla, maduka ya dawa, vifaa vya ujenzi na mikate
- Mauzo (POS) pamoja na risiti
- Bidhaa, bei na barcode
- Stoo kila ghala na duka
- Manunuzi na wasambazaji
- Uzalishaji kutoka malighafi
- Wateja, mauzo ya mkopo na malipo
- Matumizi
- Faida na hasara na ripoti za mauzo
